Msaada: Mobile web browser

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Hello wana JF, nina shida kidogo na simu yangu BB Curve 8520, ninatumia browser ambayo ipo kwenye simu yangu inafanya kazi vizuri tu... lakini siwezi ku log in kwenye jamii forums inakuwa inakataa na nime jaribu kudownload na kutumia Opera ilifanya kazi kama wiki mbili juzi ikagoma ni kaifuta nikadownload nyingine jana imefanya kazi lakini leo jioni imegoma kabisa siwezi ku log in JF lakini site nyingine kama kawa naingia, nilikuwa naomba msaada kama kuna free Mobile web Browser ambayo mnaifahamu badala ya Opera naomba mnisaidie.. Shukrani
 
is there any difference ya opera na operamini?
 
Tumia uc web,unajua operamini inakubali km vp ni pm nikuelekeze frsh.
 
is there any difference ya opera na operamini?

Yap, there's opera mini and opera mobile for windows mobile.

Mkuu manyanza downloa browser zote yaani uc browser na bolt, itakayozingua unafungua nyingine.
Opera mini kwa ufaster wanaongoza, uc browser ni nzuri ila mimi siipendi muonekano wake, Bolt ni nzuri kama browser ya pc inamambo mengi kuliko browser nyingine
 
<br />
<br />

Open jamii has normal scroll down, down left u"ll find a drop box click and select mobile edition and login bingo, had the same problem
 
Asanteni sana wakuu kwa msaada wenu nime download web browser zote na zinapiga kazi kama kawaida. Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…