Haiwezekani ikawa umeilock ulivyo flash hilo file? Mfano modem ni ya tigo ikawa unlocked then ukaflash firmware ikarudi lock ile ile ya tigo. Jaribu kuweka line ya mtandao husika kama ni wa Tanzania.
Alternative Jaribu kutumia program inayokupa details za modem kama DC unlocker hii itakwambia kama ipo locked, Kuna possibility ya ku unlock etc.