Haina mkia ili iweze kuwa flexible, "unstructured end," ili iache nafasi za kufanya histone modifications hapo kwenye terminus. Histone modifications, kama vile methylation, adenylation, etc. zinafanya kazi ya DNA regulation wakati wa gene expression, na unafahamu kwamba gene expression maana yake ni kutengeneza proteins, na protein haitengenezwi bila kwanza DNA kutengeneza mRNA ambayo kila codons zake tatu zina code for a specific amino acid wakati wa kutengeza polymer za proteins.Wakuu heshima mbele.Katika kupita pita kwangu nimekumbana na swali likinitaka nieleze uhusiano wa Histone na mRNA na nieleze kwa nini Histone haina mkia wa Adenylate Polymer kwenye 3`end,,,nimejaribu kwa wanadarasa na google nimeshindwa kupata majibu.Natanguliza shukrani kwa niaba ya wengine watakaonufaika na majibu yenu
Haina mkia ili iweze kuwa flexible, "unstructured end," ili iache nafasi za kufanya histone modifications hapo kwenye terminus. Histone modifications, kama vile methylation, adenylation, etc. zinafanya kazi ya DNA regulation wakati wa gene expression, na unafahamu kwamba gene expression maana yake ni kutengeneza proteins, na protein haitengenezwi bila kwanza DNA kutengeneza mRNA ambayo kila codons zake tatu zina code for a specific amino acid wakati wa kutengeza polymer za proteins.
Huo ndio uhusiano wa mRNA na histones wakati wa protein transalation, japo kazi ya kwanza, ya msingi kabisa ya histone ni kuwa spool ambayo DNA inajiviringisha ili kupunguza urefu, more properly nafasi, kwa sababu urefu uko pale pale ukiikunjua DNA. Hayo mengine yote kuhusu kazi za histone bado ni hypothesis tu.