Msaada:Movate cream

Msaada:Movate cream

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Habari..........
kuna mtu ashawahi kuyafaham haya jee yamepigwa marufuku?kuna watu wanavusha mipakani wananishawishi ninunue kwa bei ya jumla mzigo wa dukani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ww ni mwanaume sina cha kukushauri...ila km.mwanamke usitumie hizo creams...
 
Back
Top Bottom