Msaada gani utapewa zaidi ya kuwasaidia TFDA?Habari..........
kuna mtu ashawahi kutumia movate cream?......nimeikuta duka la vipodozi nikainunua.........niliambiwa ni nzur sana......msaada kwa ambaye amewahi kuitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi na wanaume huwa tunapaka cream?Habari..........
kuna mtu ashawahi kutumia movate cream?......nimeikuta duka la vipodozi nikainunua.........niliambiwa ni nzur sana......msaada kwa ambaye amewahi kuitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie tu madhara yake tafadhali ili asiitumie maana ameshainunuakama ww ni mwanaume sina cha kukushauri...ila km.mwanamke usitumie hizo creams...
Mwambie tu madhara yake tafadhali ili asiitumie maana ameshainunua
Utakuwa umetoa msaada mkubwa sana kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas inabidi achukue uamzi sahihi mwenyewemadhara yanajulikana..labda km anapenda kuwa mwekundu . sijawah itumie naonaga wengi wanalalamika inaunguza