Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Wakuu,ninaye mchumba wangu ana miaka 21 alianza bleed tar 6 feb ikaisha 10feb ila leo kaniambia bado kuna viji-damu vinatoka ukeni kwake!,wakat wa mp huwa anaumwa tumbo sana siku ya 3 ila safari hii kaumwa sana siku ya 3 na ya 5,
naomba ushauri tafadhali.,
naomba ushauri tafadhali.,