Msaada: MP iliisha,sasa hivi inatoka matone madogo ya damu!

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
979
Reaction score
277
Wakuu,ninaye mchumba wangu ana miaka 21 alianza bleed tar 6 feb ikaisha 10feb ila leo kaniambia bado kuna viji-damu vinatoka ukeni kwake!,wakat wa mp huwa anaumwa tumbo sana siku ya 3 ila safari hii kaumwa sana siku ya 3 na ya 5,
naomba ushauri tafadhali.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…