Msaada: Mpangaji mwenzangu ni mchawi

Mmh ulipata wapi ujasiri wa kuchunguza alivyovishika .. 🤔 chai yenye kichuri hii
Duh unakijua kichuri?Unatokea wapi?Kwa uzuri tu i'm asking.
Hii kitu inatumika sana villa kwetu😃
 
Chai hiyooo. Huo usiku ulionaje hiyo hirizi inapumua na wakat unasema alikuwa juu ya bati?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulijuwaje kama kashika ngozi ya fisi mkononi
Na kavaa hirizi inayopumua?

Tuanzie hapo mpwa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hii page yenyewe ya umembea na jokes Nani wa kukuamini Pierre liquid 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwenye macho ya kumuona mchawi ni mwenzie sasa kama wewe umemuona bac ujue una elements hzo kikubwa usimuhame shirikianeni msiroge watu basi
 
ulijuaje km ni ngozi ya fisi usiku huo mkuu??? Je km ni ya buzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…