<br />nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....
Duh! Humpi huduma?
Mpatie anaxchokihitaji kwa ukamilifu, ataacha kusachi. Anasachi kwa sababu kile anachokitaka hajakipata
mpe dau la nguvu..... ni ishara kwamba unamkono wa birika wakati yeye ana mkono mrefu
nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....
Dah nashukuru wakuu!Usikubali ukupige sachi bila kuwa na saearching warrant.akifanya hivyo ni kosa kisheria na unaweza kumsuu.sawa mkuu.
Natamani nijue tabia yake kabla sikuzama kwenye penzi zito kwake ningeweza kukaa pembeni, tabu nimejikuta nimezama kwake.Atakuwa na tabia ya udokozi, kuna tabia ukishindwa kuziacha kwenu ndio hivo unaenda nazo kadi kwa watu, hadi kwa mumeo, looo shame on her,
mwambie umeiona hiyo tabia yake na hupendi,ukimwacha ataendelea hivohivo