MSAADA: Mpenzi wangu ananisachi!

kusachi ni kutazama vilivyomo eg. kondom, pesa, picha/paspot size etc. mimi naona anawivu na anataka kujiridha kwa vitu vidogo kama hivyo....hakuna tofauti na wachunguza simu. so, hana tatizo huyo. mweleze tu. kwani akikuta pesa anachukua????
 
Kama wewe si mtu mchoyo, unamtimizia mahitaji yake muhimu, basi huyo dada ana tabia mbaya ya upekuzi.
 
Icje aliwah kuwa dadapoa.mana hzo tabia za machangudoa
 
Mfanyie testing ujue anatafta nini kama ni mdokozi au hakuamini kwenye mapenzi
1st test: Acha hela nyingi kwenye wallet, nenda bafuni badae uje ucheki kama amedokoa hata 500.
2nd test: Acha kidhibiti chochote chenye mashaka (ambacho utakuwa na maelezo ya kueleweka nacho), nenda bafuni urudi usikilizie kama ataongea kitu.
 
sioni tatizo mkuu. kama anasachi na haibi tatizo lipo wapi?? jamani mbona tunacomplicate? tena anakupenda coz anataka kukujua vema ili ukimwoa asipate tabu
 
nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....

heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!,.........kama kuna kaukwli eti eeee
 
Sijafanikiwa kuishi nae chumba kimoja ila huwa tunakutana kwenye lodge, sasa yeye nikiingia bafuni tu kosa.

hapo tu mnakutana guest anakusachi namna hiyo je ungekuwa unaishi nae si angekupekua hadi matakoni
 
daah hiyo kali kichizi yani inachekesha lakini jaribu kumweka chini uzungumze naye labda hakuamini amini
 
kusachi ni kutazama vilivyomo eg. kondom, pesa, picha/paspot size etc. mimi naona anawivu na anataka kujiridha kwa vitu vidogo kama hivyo....hakuna tofauti na wachunguza simu. so, hana tatizo huyo. mweleze tu. kwani akikuta pesa anachukua????

sioni tatizo mkuu. kama anasachi na haibi tatizo lipo wapi?? jamani mbona tunacomplicate? tena anakupenda coz anataka kukujua vema ili ukimwoa asipate tabu
Kwani mkuu wewe huwa unapekuwa pochi ya mwenzako bila idhini yake?
ila mkuu nashukuru kwa ushauri wako.
 
mlikutana bar wakati mnaanza mahusiano??
 
Sijafanikiwa kuishi nae chumba kimoja ila huwa tunakutana kwenye lodge, sasa yeye nikiingia bafuni tu kosa.
Inaelekea ww ni bahili kupindukia na huwa unamkatia ujira kiduchu baada ya zinaa...kwa hiyo anajimegema mwenyewe!
 
inaonesha hakuamini>embu mjengee imani akuamini,otherwise ana wivu kupindukia,muonye!!!
 
Kwan yy ni kabila gan? manake makabila mengine bwana wasisikie hata fungua zikigongana mfukon anapata mshawasha.
 
...........muulize anatakaje kwani anacho akitafutacho asikipate!
 
Mwekee viwembe vimkate kwanza ndo ataacha, weka vingi na vilivyofunguliwa ili vimkate vzr. then iyo tabia ataiacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…