Chief Ken Lo
Member
- Sep 14, 2011
- 56
- 4
Sijafanikiwa kuishi nae chumba kimoja ila huwa tunakutana kwenye lodge, sasa yeye nikiingia bafuni tu kosa.
Wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!
Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, Nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!
Nitafanyaje ili tabia hii ikome?

Wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!

Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, Nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!

Nitafanyaje ili tabia hii ikome?

alikupa jibu muafaka kabisa.ni mpenzi wako na mavazi yako ni mali yake pia,chako ni chake kwahiyo sioni tatizo.labda kama una mambo ya pembenipembeni.wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!
Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!
Nitafanyaje ili tabia hii ikome?
fata ushauri wa member mmoja hapa anaitwa Kaka jambazi 'jisachi mwenyewe' ukikaribia home kabla ya yeye kukusachi,hii itakupunguzia presha zisizo na ulazima.Wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, Nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!Nitafanyaje ili tabia hii ikome?
We m2 mzima fanya majaribio ya kimyakimya weka kiasi kidogo cha pesa mfukoni then uiache kama kawaida kwa makusudi kama mdokozi utagundua tu then u ll have the ans 4 such habit
Wasiwasi wako nini??? mwache asachi muhimu asikuibie.
Au mtege uache pesa alafu baada ya muda uangalie je?? ziko sawa, ukikuta zimepungua basi ana tabia ya udokozi, ukikuta ziko sawa basi ni hulka yake.
akishakusachi huwa anachukua au?
Wadau kwahili nilitolea maelezo hapo mwanzo kwamba nikirudi home ndo nakuta some amount zimepungua.Mkuu, plz b clear and certainly. Kwani anavyomaliza kusach kuna v2 huwa huvioni tena. Prove if....
Anaposema Mavazi ni Mali yake anamaanisha nini??..Ukinijibu hili nadhani tunaweza kushauriana cha kufanya..
alikupa jibu muafaka kabisa.ni mpenzi wako na mavazi yako ni mali yake pia,chako ni chake kwahiyo sioni tatizo.labda kama una mambo ya pembenipembeni.
Wakuu sijakataa kwamba hata mavazi ni mali yake ila najiuliza iweje anisachi wakati niko bafuni kwanini asiniambie naangalia suruali yako wakati niko nae.Kumbe ulishapata jibu kwa nini anakusachi. Unachotakiwa kutueleza hapa ni je wewe ulikubaliana na maelezo yake kuwa hata mavazi yako ni mali yake? Kama ulikubali sioni sababu ya haya malalamiko ila kama hukukubali utueleze mlifikia muafaka gani baada ya majadiliano yenu. Kuanzia hapo nitatoa ushauri zaidi.
Huyo ni mwizi, usipomstukia mapema kuna siku atakuliza huyo
weka nyoka mfkoni
Aaaah! Huyo Dada anayake,.
Ila zaid n kuwa hakuamin, kama anasearch mifuko ya surual, simu si ndo itakuwa balaa?..
Haamin chochote unachomwambia,
so be careful aisee
kaka muwekee kiwembe akiingiza tu anakutana nacho ataacha mchezo wake tena mpyaaaaaaa
Eeeh, makubwa! Kumbe ...
mwizi huyo na tabia hiyo itaendelea na iko siku atakutia aibu kwa wengine
ana hulka ya wizi huymx mwanamke
unashindwa kumchana live kwamba hupendi hiyo tabia?...na kama ushamwambia afu askii hilo toto jeuri kazi unayo
ana mulika mwizi
simpo! nendanae bafuni