MSAADA: Mpenzi wangu anatoa harufu sehemu za siri

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4,327
Reaction score
8,142
Nimeaanzisha uhusiano na msichana last week, na tumesha yajenga maramoja, and nimemfurahia at 360degree, ila tu kuna kasoro moja ananuka K tatizo ambalo naamini sio kubwa na linatibika.

Ninachowaomba mnisaidie ni dawa gani nimnunulie ili iondoe hili tatizo alilonalo, bado halijawa kubwa maana harufu naisikia kwa mbali na kama hauko makini hauwezijua nlimwambia tu next time tukikutana nakuja na dawa ila sijamwambia anaumwa nini maana ni vigumu sana kulisema.
 
Kwanza nikupongeze kwa kuonesha ukomavu wa akili. Wengine wakikutana na ladies wenye hiyo hali huishia kuanzisha nyuzi za Kuwatukana badala ya kuwasaidia kama ulivyofanya.
Hilo Tatizo linatibika. Suluhisho ni hospitali. Ongea nae kwa upendo kuhusu hiyo hali ili akapate matibabu. Dawa ziko nyingi madukani ila visababishi vya tatizo ni Vingi pia. Nawatakia kila la heri.
 
Harufu ni Kwa mbali usipokua makini hauwezi kuihisi.

Simple, acha kua makini au jua kama anatumia uzazi wa mpango, na rate yake ya usafi ikoje. Pengine siyo swala la dawa kabisa.
 
Kuna ugonjwa unaitwa chlamydia ni common sana kwa sexually active people hasa wale wanaopenda kavu na kuswap wapenzi kila mara, wenzetu Marekani na Ulaya wanautazama kwa makini sana baada ya Ghonohorea maana symptoms zake hazijapishana sana! Tafta hospitali makini mkapime hio kitu huenda ndio inaleta mushkeli mkuu dalili zake sio rahisi kuziona kwa mwanaume ila kwa mwanamke ni rahisi kidogo!
 
Unastahili pongezi, na waoesha ni jinsi gani unampenda huyo mpenzi wako, kabla hujampa dawaatumie ni vyema ukampeleka hospital akapimwa na kuandikiwa dawa kwa mujibu wa ugonjwa ataokutwa nao, usicheze na sehem za siri za mwanamke kwa kumpa dawa ambazo hazijathibitishwa apewe
 
Kwa Tanzania Hospitali makini ni zipi hata kwa magonjwa mengine?
 
Kwa Tanzania Hospitali makini ni zipi hata kwa magonjwa mengine?
Ni changamoto mkuu maana mimi tokea nimeanza pima UTI mikocheni sijawahi kukutwa nayo, Malaria pia sijawahi iona ila unakuta najimezea dawa tu maana njiskia kuumwa!
 
mada kama hizi huwez ona akina dada wakichangia uzoefu wao. Naam wengi wao humu K zao zipo safi na hazina harufu. Maajabu!
 
Yaani wadada huwa ni wanafiki jamani, huwezi kuona wanachangia angalau kutoa uzoefu wao walipona vipi maana asilimia kubwa ya wadada suala la kunuka K linawakuta. Yaani huwa naumia saana nimalize kumgonga binti nisikie harufu ya kunuka K duuuh!!!!!!! hamu yote inapotea ya kupiga round ya pili......
 
Dadaz wengine hawachangii labda wanaona aibu! Back to the topic, nadhani bidada atakuwa free zaid kueleza tatizo lake kinagaubaga hosp. Issue ya kubadilisha sana wapenzi, kutumia dawa za uzazi wa mpango, hali Yake ya usafi n.k , sidhani kama anaweza kuwa huru kuiongea kwa mpenzi, tena kipya kinyemi! Aende tu hosp, maana hakuna namna
 
Na kitu pekee kinachotucost not only us women but also men, ni kutojieleza vizur kwa dokta
 
Nilimpenda gafla kama radi, sipo tayari kumpoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…