Msaada, mpenzi wangu anatoka damu nyingi akiwa kwenye siku zake

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Ninampenzi wngu leo ni siku ya tano mfululizo anaingia period ila kinachonisababisha niombe ushauri damu inatoka nyingiiiii sana kuliko miaka yote.,je ili ni tatizo gani waungwana? Naombeni msaada
 
hospital please...waone Dr wà wagonjwa ya akina mma
 
Ninampenzi wngu leo ni siku ya tano mfululizo anaingia period ila kinachonisababisha niombe ushauri damu inatoka nyingiiiii sana kuliko miaka yote.,je ili ni tatizo gani waungwana? Naombeni msaada
Nenda Hospitali ila Kama Ameshawahi Kutumia Pia Vidonge vya Kutoa Mimba ni Vyema Ukajua...
 
muulize kama ametumia vidonge vya kuzuia mimba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…