1 1954tanu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,038 Reaction score 487 Oct 8, 2014 #1 Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo Natanguliza shukurani zangu za dhati.