Shozylin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 341
- 699
Wakuu habari za leo. Niende moja kwa moja kwenye mada, Nina rafiki angu ambae tumefahamiana kupitia social network, hatujawahi nana nae.
Ila huyu mrembo aliniweka wazi matamanio yake ya kupata mpenzi wa kizungu, nikamuelekeza apakue application za dating site kapakua ila inamtaka alipie, kwenye namna ya kulipia imemshinda wakuu.
Ni application gani ambayo ipo simple au Kama kuna mtu yoyote amewahi tumia application Kama hizo pls nakuomba inbox ili nikukutanishe na huyo mrembo umuelekeze.