Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mimi ninatatizo la uzazi mirija ya uzazi imeziba siwez pata mtoto ndoa yangu ipo matatani doctor amesema mrija mmoja umeziba na mwingine ni mild.amenipa dawa nitumie kwa miez sita..kwa matazamio....nauliza mrija ukiwa mild kuna uwezekano wa kupona
Je maishani mwako haujawahi kushika ujauzito kabisa tuanzie hapo kwanza.Jamani mimi ninatatizo la uzazi, mirija ya uzazi imeziba siwezi kupata mtoto. Ndoa yangu ipo matatani, daktari amesema mrija mmoja umeziba na mwingine ni mild.
Amenipa dawa nitumie kwa miezi sita, kwa matazamio nauliza mrija ukiwa mild kuna uwezekano wa kupona?
cjawah kutumia njia ya uzaz wa mpango..cjawai pata wala toa mimba kifupi cjui mimba nini tangu kukua kwangu mpaka hvi leo ninamiaka 30.nimeshalia mpaka basi.Je maishani mwako haujawahi kushika ujauzito kabisa tuanzie hapo kwanza.
asanteUsihofi. Tatizo litaisha na mwana utampakata.
Duuuh! pole sana dada hakuna sababu ya kukata tamaa ungali mzima na suala la mtoto kiimani nayo ni rizki kwa mwanadamu,ungali pumzi bado ipo endelea kumuomba muumba nna imani atasikia kilio chako,je kuhusu mzunguko wako wa kila mwezi unaupata kama kawaida?cjawah kutumia njia ya uzaz wa mpango..cjawai pata wala toa mimba kifupi cjui mimba nini tangu kukua kwangu mpaka hvi leo ninamiaka 30.nimeshalia mpaka basi.
Usihofi. Tatizo litaisha na mwana utampakata.
napata hedhi kama kawaidaDuuuh! pole sana dada hakuna sababu ya kukata tamaa ungali mzima na suala la mtoto kiimani nayo ni rizki kwa mwanadamu,ungali pumzi bado ipo endelea kumuomba muumba nna imani atasikia kilio chako,je kuhusu mzunguko wako wa kila mwezi unaupata kama kawaida?
Utaalam sina, ila nilikuwa na changamoto ya uzazi. Hatua ya mwisho ilikuwa ni kuicheck mirija ya uzazi ili ijulikane kama imeziba au la. Na nikaambiwa kama itakuwa imeziba, kuna namna ya kuizibua.HOW?.. unaweza kuelezea kidogo na sisi tukapata ka elimu fulani
kuzibua kupo ni unazibuliwa na oparesheni.na kufanikiwa kwenye kuzibua ni asilia 10..doctor hakushauri oparesheniUtaalam sina, ila nilikuwa na changamoto ya uzazi. Hatua ya mwisho ilikuwa ni kuicheck mirija ya uzazi ili ijulikane kama imeziba au la. Na nikaambiwa kama itakuwa imeziba, kuna namna ya kuizibua.
asilimia10kuzibua kupo ni unazibuliwa na oparesheni.na kufanikiwa kwenye kuzibua ni asilia 10..doctor hakushauri oparesheni
aminaPole bibie, omba mungu atakujalia nawe uitwe mama
aminaMungu ni mweza wa yote atakusaidia utaoata mtoto, tena ndani ya muda mfupi ujao. Mwombe Mungu, kama utapata tiba mbadala tumia ila usitumie nguvu za giza, mwamini na umuombe Mungu atajibu. Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake.
Mirija kuziba haimanishi hapatI Period.Duuuh! pole sana dada hakuna sababu ya kukata tamaa ungali mzima na suala la mtoto kiimani nayo ni rizki kwa mwanadamu,ungali pumzi bado ipo endelea kumuomba muumba nna imani atasikia kilio chako,je kuhusu mzunguko wako wa kila mwezi unaupata kama kawaida?