Msaada Msaada biashara ya kuku sio wale wa kufuga.

RockyII

Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
51
Reaction score
2
wana jf nna wazo la kufanya biashara ya kuku wale ambao tayar washa chinjwa yan wale tunao nunua madukan au kwny ma supermarkets.
Nahitaj kujua bei ya jumla inakuaje na wanapatikana wap, nataka nije kuwauza kwa reja reja mtaan kwangu amabapo wa2 wanafunga safar ndefu kununua kuku hao..
Wana jf yyte anaye jua kuhusu biashara hii anipe muongozo bas. Pia kma mtaweza niambia bei yao kwa reja reja sa iv imefka kias gan kila mtu kwa eneo lake maana mi huku kwangu tunauziwa kwa elfu 5.
Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…