mimi.mimi
Senior Member
- Jul 11, 2013
- 134
- 73
Naombeni msaada tafadhali mwanangu hataki kula kabisa ana miezi 11 na alikataa ziwa akiwa na miezi 6.. yaani kula mpaka umkabe natumia nguvu nyingi kumkaba mpaka nahisi namuumiza.
Hataki maziwa na mkaba, bokoboko nalazimisha, ndizi, viazi yaani Nikila kitu, kasolo yai bichi nikitia chunvi nampa ndo simkabi na maji yakunywa tuu nisaidieni jaman mda wakulishana mpaka napata mawazo sana hata yeye akiona chakula tuu kilio kinaanza