Msaada msaada jamani

mimi.mimi

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
134
Reaction score
73
Naombeni msaada tafadhali mwanangu hataki kula kabisa ana miezi 11 na alikataa ziwa akiwa na miezi 6.. yaani kula mpaka umkabe natumia nguvu nyingi kumkaba mpaka nahisi namuumiza.

Hataki maziwa na mkaba, bokoboko nalazimisha, ndizi, viazi yaani Nikila kitu, kasolo yai bichi nikitia chunvi nampa ndo simkabi na maji yakunywa tuu nisaidieni jaman mda wakulishana mpaka napata mawazo sana hata yeye akiona chakula tuu kilio kinaanza
 
Mpeleke hospital haraka sana!!!!!!!!
 
yap mpeleke hospitali
labda akila anapata maumivu sehem... na hilo yai halimuumiz coz ni laini
 
Pole sana mpeleke umfanyie check up hospitalini jaribu umpime stool uangalie kama anaweza akawa na minyoo pia unaweza mtafutia multivitamins ili kumsaidia kumpa appetite. Vipimo vikiwa ok mpeleke kwa daktari wa watoto amwone i think you will get more assistance
 
asante ilikua monyooo coz toka azaliwe aikua hajapewa dawa za minyooo. asante sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…