Msaada msaada kuhusu selectio za tcu

Msaada msaada kuhusu selectio za tcu

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Jamani mbona nilifanya second application lakini leo hiii nalogin na kukutana na habari ya kwambba nifanye tena application? Na zaidi vyuo vingine havipo? Nifanyeje?

Msaada
 
hivyo vilivyopo ndo jaza tene harakisha maana vikijaa kmojakimoja kinaondoka so wah na uharakishe sana
 
Jamani mbona nilifanya second application lakini leo hiii nalogin na kukutana na habari ya kwambba nifanye tena application? Na zaidi vyuo vingine havipo? Nifanyeje?

Msaada

mie mwenyewe nilijaza 2nd selection ikakubali baada ya siku moja nikaambia due to competition sijapata nijaze tena , ilinibii nijaze tu tena course isiyo na mkopo, kuna wengine wameacha kama ilivyo kesho wanaenda ofisi za tcu kwa mie nipi mkoani niliamua kujaza tu
 
Back
Top Bottom