Jamani mbona nilifanya second application lakini leo hiii nalogin na kukutana na habari ya kwambba nifanye tena application? Na zaidi vyuo vingine havipo? Nifanyeje?
Jamani mbona nilifanya second application lakini leo hiii nalogin na kukutana na habari ya kwambba nifanye tena application? Na zaidi vyuo vingine havipo? Nifanyeje?
mie mwenyewe nilijaza 2nd selection ikakubali baada ya siku moja nikaambia due to competition sijapata nijaze tena , ilinibii nijaze tu tena course isiyo na mkopo, kuna wengine wameacha kama ilivyo kesho wanaenda ofisi za tcu kwa mie nipi mkoani niliamua kujaza tu