Msaada msaada Tafadhali

Msaada msaada Tafadhali

teacher x

Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
94
Reaction score
62
Naombeni kuelimishwa juu ya matumizi ya hizi oil,Maana kiukweli bado sijaelewa tukiwa humu wengi wanasema tutumie 5w30.Mtaani kwenye jamii zetu wanatumia 20w50 ukweli ni upi?na je mfano gari yenye km 197000 na yenye km 68656 natumia oil hiyo hiyo au inakuwaje?
 
Swali nzuri sana
 
Kuna Oil za nchi ya baridi mfano Urussi,ukrain,etc na nchi zenye joto mfano nchizi baadhi za ualabuni na huku kwetu.

Pia utofauti mwingine.
Gari za diesel zina Oil yake na gari za petrol zina oil yake.

toyota wana oil zao kwaajili ya magari yao haimaanishi huwezi tumia oil nyingine,ila wao ndio wamekurecomend utumie hiyo kwasababu wao ndio wanajua gari zao zaidi.
 
Back
Top Bottom