Msaada! Msaada Tafadhali..

Msaada! Msaada Tafadhali..

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
507
Reaction score
191
Habari wana JF!
Nimeona si vibaya nikatafuta msaada hapa jamvini kwani nina hakika wapo watu wenye uelewa mpana wa mambo hasa maswala ya taaluma. Nina ndugu yangu anatafuta kozi ya kusoma (certificate) yenye future ila isiyohusisha mambo ya account au maths. Tafadhali kama unaweza shauri kozi na chuo inachotolewa ntashukuru sana..
Msaada wa ushauri wako ni muhimu sana.Ahsante
 
ungesema yeye ana elimu gani darasa la saba,kidato cha nne au cha sita! Na kama ni kidato cha nne ufaulu wake ukoje au kama ni kidato cha sita ufaulu wake ukoje na alichukua mchepuo gan.funguka mkuu usaidiwe.
 
Ni Fom 4,alisoma Arts, alipata div IV ya D sita na F ya Maths.
 
Asome mambo ya mahabara kama D ya biology is very marketabe.
 
Habari wana JF!
Nimeona si vibaya nikatafuta msaada hapa jamvini kwani nina hakika wapo watu wenye uelewa mpana wa mambo hasa maswala ya taaluma. Nina ndugu yangu anatafuta kozi ya kusoma (certificate) yenye future ila isiyohusisha mambo ya account au maths. Tafadhali kama unaweza shauri kozi na chuo inachotolewa ntashukuru sana..
Msaada wa ushauri wako ni muhimu sana.Ahsante

Catering and hotel management
 
ss hiyo account ataisomaje wakati hesabu hajiwezi?ila vyuo viko vingu anaweza kuanza na certificate km ana d 5
 
Back
Top Bottom