MAN OF CHANGES
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 507
- 191
ungesema yeye ana elimu gani darasa la saba,kidato cha nne au cha sita! Na kama ni kidato cha nne ufaulu wake ukoje au kama ni kidato cha sita ufaulu wake ukoje na alichukua mchepuo gan.funguka mkuu usaidiwe.
Habari wana JF!
Nimeona si vibaya nikatafuta msaada hapa jamvini kwani nina hakika wapo watu wenye uelewa mpana wa mambo hasa maswala ya taaluma. Nina ndugu yangu anatafuta kozi ya kusoma (certificate) yenye future ila isiyohusisha mambo ya account au maths. Tafadhali kama unaweza shauri kozi na chuo inachotolewa ntashukuru sana..
Msaada wa ushauri wako ni muhimu sana.Ahsante
Asome mambo ya mahabara kama D ya biology is very marketabe.