Poleni na majukum ya kila siku?
Ndugu zangu nina shida na mtu mwenye mawasiliano na mwalimu mkuu au mwalimu yeyote anayefundisha Nyakato High School(Bukoba) , msaada wenu ni muhim sana na asanteni ataekua na mawasiliano ani PM tafadhali au aniwekee hapa hapa kwenye huu uzi