agwambo halisi
Member
- Jan 22, 2014
- 42
- 2
Mwenyekujua scale za mishahara ya Tume ya vyuo vikuu, kuna ndugu yangu aliomba kazi hapo na sekta binafsi flani hajui aende wapi anauliza maslahi ya koja upande wa sekta binafsi keshajua bado huko kwingine, mwenye kujua anijuze