A agwambo halisi Member Joined Jan 22, 2014 Posts 42 Reaction score 2 Apr 19, 2014 #1 Mwenyekujua scale za mishahara ya Tume ya vyuo vikuu, kuna ndugu yangu aliomba kazi hapo na sekta binafsi flani hajui aende wapi anauliza maslahi ya koja upande wa sekta binafsi keshajua bado huko kwingine, mwenye kujua anijuze
Mwenyekujua scale za mishahara ya Tume ya vyuo vikuu, kuna ndugu yangu aliomba kazi hapo na sekta binafsi flani hajui aende wapi anauliza maslahi ya koja upande wa sekta binafsi keshajua bado huko kwingine, mwenye kujua anijuze