Msaada!! Msaada!! Wana hiphop tafadhali nisaidieni jina la wimbo huu wa NAS ESCOBAR

kitakali kiwofu

Senior Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
173
Reaction score
24
Wadau , kama mnakumbuka wakati ule SAIGON AKIWA ANAENDESHA KIPINDI KIPINDI CHA HIPHOP HAPO EATV, KUNA BITI YA GOMA LA NAS ESCOBAR, ALIKUA ANATUMIA KAMA SOUNDTRACK, NISAIDIENI JINA LA WIMBO WA ILE BITI,,
NAJUA JF KUNA WANA HIPHOP WENGI TU. Msaada tafadhali.
 
hebu weka hiyo soundtrack tuisikie, kisha tukusaidie jina la wimbo.....
 
Wadau , kama mnakumbuka wakati ule SAIGON AKIWA ANAENDESHA KIPINDI KIPINDI CHA HIPHOP HAPO EATV, KUNA BITI YA GOMA LA NAS ESCOBAR, ALIKUA ANATUMIA KAMA SOUNDTRACK, NISAIDIENI JINA LA WIMBO WA ILE BITI,,
NAJUA JF KUNA WANA HIPHOP WENGI TU. Msaada tafadhali.

Da,

E bwana dah,
E bwana dah,

E bwana Oooi, oi oi.

Mzzzzuka,

Kalinye kalinye Episode.
 
u can hate me now....
but i wont stop....
coz i cant now...
u can hate me noooooooooooooooooooow....
 
Wadau , kama mnakumbuka wakati ule SAIGON AKIWA ANAENDESHA KIPINDI KIPINDI CHA HIPHOP HAPO EATV, KUNA BITI YA GOMA LA NAS ESCOBAR, ALIKUA ANATUMIA KAMA SOUNDTRACK, NISAIDIENI JINA LA WIMBO WA ILE BITI,,
NAJUA JF KUNA WANA HIPHOP WENGI TU. Msaada tafadhali.

Kutoka ktk "album" lake linaloitwa "I am" la mwaka 1999 lililotayarishwa ktk studio za Columbia records nakuletea Nas Jones aka Nas Escobar alongside P. Diddy kwenye "single" ya hip hop iliyofanya vyema ktk chart" za "Billboard" 1999 - 2000, HATE ME NOW!
 
thanks my pipo kwa ushirikiano wenu!!! !! Japo wadau SUCH A SONG IS NOT 'HATE ME NOW'COZ EVEN IN MY PC I HAVE THIS SONG.....
 
Hate me now iyo ngoma Nas alitoa wakati amebadili mlengo kidogo na kujiingiza kwenye muzik wa commercial!ndo mana unamuona na kinara wa biashara p.didy!wakati huo watu wakaongea sana kumnanga nas ndo mana uwo wimbo ni km anajibu critics na "i dont care watchu say kind f lyrics"!..
 
aisee jamaa alikua anakaza! Daahh,, but stil to me he is the best HIPHOP ARTIST
 
Hate me now ,make the world go round,zote commercial full kujisifia na kusifu anasa
 
Back
Top Bottom