Msaada msaada!

Msaada msaada!

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,013
Nina mke wangu ni mjamzito wa miezi mi 4 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa na kutokwa na harufu kali sehemu za siri(ukeni) je nini tatizo? Alienda hospitali wakamchoma sindano ila tatizo bado linaendelea tu. Naombeni msaada wataalam.
 
Back
Top Bottom