B Bangoo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 5,597 Reaction score 1,013 Nov 14, 2012 #1 Nina mke wangu ni mjamzito wa miezi mi 4 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa na kutokwa na harufu kali sehemu za siri(ukeni) je nini tatizo? Alienda hospitali wakamchoma sindano ila tatizo bado linaendelea tu. Naombeni msaada wataalam.
Nina mke wangu ni mjamzito wa miezi mi 4 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa na kutokwa na harufu kali sehemu za siri(ukeni) je nini tatizo? Alienda hospitali wakamchoma sindano ila tatizo bado linaendelea tu. Naombeni msaada wataalam.
Triple A JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 766 Reaction score 148 Nov 14, 2012 #2 du,kweli hilo tatizo! Subiri docto's wanakuja.