msaada. msela anachakachuliwa

opwa

Member
Joined
Jun 10, 2010
Posts
66
Reaction score
6
jamaa anadai yupo kwa love relation mda wa mwaka na binti aliyenaye mara alipompata binti alijinadi kuwa ni mhanga wa love pia alishawadamp wakaka wa3 kwa kumfanya kikaragosi, sasa jamaa anasema kwa mda wate huo HAJAMJUA mwenzake. kila anapojalibu kuleta romantic zone binti amekuwa akimpush, ikafika kipindi hata kiss tu aliambiwa hajazoea saaana.. sasa wiki ilopita alienda hostel aliko binti, mungu mkubwa alimkuta but na mkaka, akasalimia yule mkaka akaaga na atarudi, jamaa akapatwa dauti nae akaondoka, baada ya masaa 3 akarudi na kugonga alimkuta yule jamaa akiwa kitandani na kaoshi na mdemu wake kanga kiunoni na hakukuwa na rummet wengine huo mda wa saa 6 na usiku. binti akamwambia huyu ni rafiki yangu anakaa hostel za mbali hivyo hawezi ondoka usiku ule . . jamaa akabaki mweupe wa kauli na kujikuta akirudi nyuma na kuondoka. anata afanye revenge so watsup guys tumsaidie aweze rudi kifikra
 
Sio kwamba ndio yamekupata usiku huu? usi-revenge kwanza, achana nae wanawake wapo wengi, wa muda mfupi na wa kudumu! tuliza roho yako, achana na tamaa, hata hivyo vibinti vya Hostel mbona fulll utata! Better be alone than in Ill company!!!
 
Revenge ya nini? Mwambie aachane naye aangalie maisha yake wasichana wako wengi kwanini kuanza kujiumiza tell him to act like a grown up
 
Ni utoto tu,
ukikua utaacha!
Pasaka njema bro!!!!!
 
Utoto mtupu. Huu ujinga mkaujadili kwa michuzi sio hapa JF.
 
Hahahaha kaoishi!Mpotezee au ampotezee...ya nini malumbano?
 
Hicho kichwa chako cha habari, nilinipeleka mbali sana, nilihisi msela wako anapumuliwa kisogoni,
 
unafaa kuwa mwandishi wa magazeti ya udaku....
hata hvyo, jamaa ampotezee tu huyo demu...kwani lazma awe naye? kisasi cha nn kwa mtu kama huyo? inaonekana jamaa anatumiwa kwa mambo mengine tu ila msela wa kitandani anatumiwa kwa malovee, hahahaaaa, ukweli unauma ila asisahau siku hizi ile slogan ya mafiga matatu inafanya kazi sana hasa kwa wanavyuo.
 
Hicho kichwa chako cha habari, nilinipeleka mbali sana, nilihisi msela wako anapumuliwa kisogoni,
Kweli hata mimi nilifikilia ivyo ivyo kuwa msela wake....punga-watu wanatwanga.
Harafu ''english''imeandikwa kwa kiswahili hata sijapata mtililiko mzuri wa hiyo''story''-Tazama harama nyekundu hizi:-
(((jamaa anadai yupo kwa love relation mda wa mwaka na binti aliyenaye mara alipompata binti alijinadi kuwa ni mhanga wa love pia alishawadamp wakaka wa3 kwa kumfanya kikaragosi, sasa jamaa anasema kwa mda wate huo HAJAMJUA mwenzake. kila anapojalibu kuleta romantic zone binti amekuwa akimpush, ikafika kipindi hata kiss tu aliambiwa hajazoea saaana.. sasa wiki ilopita alienda hostel aliko binti, mungu mkubwa alimkuta but na mkaka, akasalimia yule mkaka akaaga na atarudi, jamaa akapatwa dauti nae akaondoka, baada ya masaa 3 akarudi na kugonga alimkuta yule jamaa akiwa kitandani na kaoshi na mdemu wake kanga kiunoni na hakukuwa na rummet wengine huo mda wa saa 6 na usiku. binti akamwambia huyu ni rafiki yangu anakaa hostel za mbali hivyo hawezi ondoka usiku ule . . jamaa akabaki mweupe wa kauli na kujikuta akirudi nyuma na kuondoka. anata afanye revenge so watsup guys tumsaidie aweze rudi kifikra)))
 
Mkuu siyo Harama nyekundi bali alama nyekundu pia siyo Harafu bali ni Halafu . Sijaelewa inakuwaje unamsahihisha mtu ambaye ni worse kwa Kiswahili wakati wewe ni worst
 
Hivi mada hapa ilikuwa ni umakini wa lugha au topic yenyewe? Ni topic haikueleweka au tumekuwa too much waalimu wa Lugha. Msaidieni mwenzenu mwe mwe ila naona kisa chenyewe kama cha kutunga vile
 
revenge atafanyia wangapi kwenye maisha haya yaliyo na mitihani mingi hivi? mwambie atulie na atafute mwanamke atakayempenda kweli...maisha lazima yaendelee.😛layball:
 
Mkuu siyo Harama nyekundi bali alama nyekundu pia siyo Harafu bali ni Halafu . Sijaelewa inakuwaje unamsahihisha mtu ambaye ni worse kwa Kiswahili wakati wewe ni worst
Mvumbuzi.....ni kweli ninatatizo la R,L...ila sikuwa namsahisha huyo...nilkuwa namwambia mtililiko haueleweki....unaweza andika maneno ya kiswahili hata kama ukikosea inaeleweka....Tuludini katika topic....
 
Tulia wewe huwajui madem wa hostel walivyo? hapo anaweza akawa anakupenda wewe halafu huyo anachukua pesa za vitop, kwa simulizi yako maadam umegundua mapema anza kabisa, mwache ahangaike na dunia
 
Mvumbuzi.....ni kweli ninatatizo la R,L...ila sikuwa namsahisha huyo...nilkuwa namwambia mtililiko haueleweki....unaweza andika maneno ya kiswahili hata kama ukikosea inaeleweka....Tuludini katika topic....

I see. Mtililiko. Mkuu inabidi ujivue gamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…