Kwani wapi umeona ametaja jina lake ama jina la chuo. Fala kweli weweMwana chuo, alafu ndo unaleta huu ushuzi wa kumuanika mtoto wa watu hapa? Je kama na yeye yupo hapa atajisikiaje? Kwanza unasoma kozi gani hapo chuo?
Kwa hio mapungufu ya mwenzako umeamua kuyaweka hadharani
Kwanini umezunguka sana na maelezo mengine useless
Kwa nini usiseme hivi; "Msaada dawa ya kuzuia kukojoa kitandani "..
Sio vizuri kusemana hivo
Hio ni roho mbaya ikemee
Matatizo ya mwenzako vumilia huku ukitafuta suluhisho taratibu..
Huo ufuta unaufanyaje sasa?mkuu ufuta unapatikana sokoniii ni sh 500 tu na atapona. kabisaaa..kuhusu ndevu za mahindi hiyo ni uongoo maana Dada angu alitumia sana wala hakuponaa
Haaaa weka wazi mkuu wengi twahitaji ujueBint Wa kaka yangu alkuwa na tatzo km hlo hadi akiwa na miaka 22, akapatiwa dawa .... Sasa hv kaolew
na jamaa anajilia tu kwa raha zake.
Point yangu ni kwamba usimkimbie hlo tatzo linatbika kabisaaa, hebu niPM
habari kaka nimeiona hii leo katika harakati za kutafuta dawa ya kukojoa kitandani na mm nahitaji hiyo dawa naomba mawasiliono tafadhali.Naijua kama uko serious nipigie tuone nnamna ya kumsaidia .atapona baada ya muda mfupi