Msaada: Mtaa wenye baiskeli za watoto(3-12years) hapa Kariakoo

Msaada: Mtaa wenye baiskeli za watoto(3-12years) hapa Kariakoo

Entim

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4,025
Reaction score
2,261
Wanabodi,
Kwa kawaida jukwaa hili hutoa msaada. Leo naombeni mnisaidie mtaa au duka rahisi linalouza baiskeli za watoto kati ya umri wa miaka 3 hadi 12.
Natanguliza shukrani.
 
Brand new or used? Brand new nenda mlimani city mall na used mtaa wa magira, ukiwa unatoka TBL au Karume mtaa wa kwanza kushoto baada ya TBL au kawawa street karibu na lango la jiji kama unatoka round about ya kigogo. Zipo sehemu nyingi tu
 
Mkuu unaweza jua bei zake used?
 
Kwa bei ya Used na ilo eneo ambalo Zogoo amekuelekeza ni kati ya 130000 mpaka 80000 kwa watoto wa 3 to 5 yrs
 
Back
Top Bottom