Wanabodi,
Kwa kawaida jukwaa hili hutoa msaada. Leo naombeni mnisaidie mtaa au duka rahisi linalouza baiskeli za watoto kati ya umri wa miaka 3 hadi 12.
Natanguliza shukrani.
Brand new or used? Brand new nenda mlimani city mall na used mtaa wa magira, ukiwa unatoka TBL au Karume mtaa wa kwanza kushoto baada ya TBL au kawawa street karibu na lango la jiji kama unatoka round about ya kigogo. Zipo sehemu nyingi tu