M mr Future Member Joined Jan 26, 2019 Posts 69 Reaction score 84 Feb 2, 2019 #1 Kama kichwa hapo juu nna ujuzi kiasi juu ya ufugaji wa kuku wa aina zote, ila nimehangaika sana kutafuta mtaji ,wapi ntapata mkopo wenye liba nafuu? NB. Npo Dodoma city
Kama kichwa hapo juu nna ujuzi kiasi juu ya ufugaji wa kuku wa aina zote, ila nimehangaika sana kutafuta mtaji ,wapi ntapata mkopo wenye liba nafuu? NB. Npo Dodoma city
Nyoka mwenye makengeza JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 870 Reaction score 776 Feb 2, 2019 #2 nenda halmashauri kuna mfuko wa vijana huwa wanatoa mitaji. Kama umri wako umesogea basi kopa kwa wajukuu zako Sent from my iPhone using JamiiForums
nenda halmashauri kuna mfuko wa vijana huwa wanatoa mitaji. Kama umri wako umesogea basi kopa kwa wajukuu zako Sent from my iPhone using JamiiForums