Msaada: Mtaji wa Milioni 1.5 unafaa biashara gani?

Msaada: Mtaji wa Milioni 1.5 unafaa biashara gani?

mean girl

Member
Joined
Feb 22, 2011
Posts
27
Reaction score
1
Natanguliza shukrani za dhati, na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo?

Asanteni
 
Kwa bongo labda ufungue Mpesa au vitu vinavyousiana na hvyo!
 
Natanguliza shukrani za dhati,na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni
Mkuu hujaeleweka kwamba una maana ya 1.5million, billion au trillion??
 
Back
Top Bottom