mean girl Member Joined Feb 22, 2011 Posts 27 Reaction score 1 May 9, 2012 #1 Natanguliza shukrani za dhati, na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni
Natanguliza shukrani za dhati, na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 May 9, 2012 #2 Kwa bongo labda ufungue Mpesa au vitu vinavyousiana na hvyo!
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,198 May 9, 2012 #3 mean girl said: Natanguliza shukrani za dhati,na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni Click to expand... Mkuu hujaeleweka kwamba una maana ya 1.5million, billion au trillion??
mean girl said: Natanguliza shukrani za dhati,na ningependa kupewa msaada kujua je mtaji wa 1.5 unafaa biashara gani hapa bongo? Asanteni Click to expand... Mkuu hujaeleweka kwamba una maana ya 1.5million, billion au trillion??
mean girl Member Joined Feb 22, 2011 Posts 27 Reaction score 1 May 11, 2012 Thread starter #4 Power said: Mkuu hujaeleweka kwamba una maana ya 1.5million, billion au trillion??[ 1.5 mill ta kitanzania ndugu yangu Click to expand...
Power said: Mkuu hujaeleweka kwamba una maana ya 1.5million, billion au trillion??[ 1.5 mill ta kitanzania ndugu yangu Click to expand...