Kwa Wataalamu wa kodi, Mtanzania akinunua gari dogo la kutembelea kwenye duka la magari kenya atawajibika kulipa kodi Kenya na Tanzania?
Pia soma: Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari
Pia soma: Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinunua kwa matumizi ya Kenya utalipa kodi zote Kenya ila ikinunua kwa ajili ya kutumia nje ya Kenya(Tz) hutalipa kodi zote utalipa Tz.Kwa Wataalamu wa kodi
Mtanzania akinunua gari dogo la kutembelea kwenye duka la magari kenya atawajibika kulipa kodi Kenya na Tanzania?
Kwa Tanzania calculations za kodi zinakuwa ni kutumia ileile calculator ya TRA mtandaoni au wao wenyewe ndio hufanya calculations?Ukinunua kwa matumizi ya Kenya utalipa kodi zote Kenya ila ikinunua kwa ajili ya kutumia nje ya Kenya(Tz) hutalipa kodi zote utalipa Tz.
Zile za calculator ziko based na used car prices from country of origin I.e Jp na EU mostly. Hio ya Ke watatumia invoice value yako.Kwa Tanzania calculations za kodi zinakuwa ni kutumia ileile calculator ya TRA mtandaoni au wao wenyewe ndio hufanya calculations?
Upo sahihi ila sasa hivi wanatumia ile calculator yao kama base harafu wanapiga hesabu ya depreciation (uchakavu) toka ilipoingia hiyo Nchi ndio unaambiwa ulipie kama hiyo gari ina usajiri wa Nchi zetu kama Kenya, Malawi, Zambia, Botswana na Namibia.Zile za calculator ziko based na used car prices from country of origin I.e Jp na EU mostly. Hio ya Ke watatumia invoice value yako.
Kama imenunuliwa dukani Kenya haina usajiri mtu anataka kuja nayo Tanzania wana calculate vipiUpo sahihi ila sasa hivi wanatumia ile calculator yao kama base harafu wanapiga hesabu ya depreciation (uchakavu) toka ilipoingia hiyo Nchi ndio unaambiwa ulipie kama hiyo gari ina usajiri wa Nchi zetu kama Kenya, Malawi, Zambia, Botswana na Namibia.
Ukinunua dukani unalipa kodi kama kawaida Kenya hawana gari wanalotengeneza wao ili upunguziwe kodi.Kama imenunuliwa dukani Kenya haina usajiri mtu anataka kuja nayo Tanzania wana calculate vipi
Kawaida kivipi labda fafanua? Je Kenya mtanzania akinunua dukani Kenya duka la magari je wakenya watamdai kodi na ipi na Tanzania kama mtanzania kanunua gari dukani Kenya analeta Tanzania TRA watadai kodi ipi calculations zake zitakuwaje za kodi?Ukinunua dukani unalipa kodi kama kawaida Kenya hawana gari wanalotengeneza wao ili upunguziwe kodi.
OK nikilipa kodi Kenya nikinunua gari dukani naileta Tanzania TRA kuna kodi watanidai tena wakati Kenya nimelipa tayari wakati nanunua?Ukinunua dukani unalipa kodi kama kawaida Kenya hawana gari wanalotengeneza wao ili upunguziwe kodi.
Mkuu Kenya utalipa kodi huo utaratibu kwa gari mpya upo SA ambako ukinunua agent anatoa kodi kabisa ambayo yeye atakuja kudai gari ikitoka kwenye mipaka ila kwa ishu ya Kenya wao watataka ulipe kodi maana hawatengenezi magari wao ni dealer tu kama Tanzania ndio maana kwa gari mpya unatakiwa ununue kwa agent alipo kwenye Nchi yako.OK nikilipa kodi Kenya nikinunua gari dukani naileta Tanzania TRA kuna kodi watanidai tena wakati Kenya nimelipa tayari wakati nanunua?
Mkuu unalipa kodi kama kawadia ile inayosoma kwenye kikokoteo cha TRA mimi nina Hilux niliuza Zambia miezi mitano iliyopita na ilisajiriwa huko Zambia ikitokea SA mteja katumia ile Hilux ni ya 2021 kadai anataka Ford Ranger Wildtruck ya mwaka huo huo aongeze hela nichukue ile Hilux mimi ntaenda kuichukua ili niuze Tanzania na kodi ntailipia kama inavyosoma kwenye calculator ya TRA maana ilipotumika Zambia haikua kwenye usajiri wangu ili nipate ile nafuu ya uchakavu inapoingia TanzaniaKawaida kivipi labda fafanua? Je Kenya mtanzania akinunua dukani Kenya duka la magari je wakenya watamdai kodi na ipi na Tanzania kama mtanzania kanunua gari dukani Kenya analeta Tanzania TRA watadai kodi ipi calculations zake zitakuwaje za kodi?
OK kodi yote ya gari umelipa Kenya kununua gari dukani kwao ambayo haijasajiriwa sasa Tanzania utatakiwa kulipa tena ?Mkuu Kenya utalipa kodi huo utaratibu kwa gari mpya upo SA ambako ukinunua agent anatoa kodi kabisa ambayo yeye atakuja kudai gari ikitoka kwenye mipaka ila kwa ishu ya Kenya wao watataka ulipe kodi maana hawatengenezi magari wao ni dealer tu kama Tanzania ndio maana kwa gari mpya unatakiwa ununue kwa agent alipo kwenye Nchi yako.
Wanajitahidi kukujibu ila nahisi kuna kitu unajua so unataka clarity tu kutoka kwa wengine.OK kodi yote ya gari umelipa Kenya kununua gari dukani kwao ambayo haijasajiriwa sasa Tanzania utatakiwa kulipa tena ?
Hayo mambo ya pamoja ya customs nk ya jumuiya ya Afrika mashariki hasa kwenye hilo la kununua gari duka la nchi ya mwenzio ambayo hayajasajiriwa yana operate vipi?
Huo umoja wa Fordha kwenye magari una maana gani?
Mkuu, Tanzania na Kenya ni nchi mbili tofauti. Ukinunua gari Kenya ili uitumie Tanzania pale Kenya hulipi kodi zaidi ya kibali cha muda mfupi cha kuisafirisha, kodi unakuja lipia Tanzania unapewa na plate number yako kwa ajili ya matumizi. Kama umelipa kodi Kenya ikapata usajili wa Kenya na ikatumika Kenya ikija huku ili itumike Tz utalipa kodi ila watazingatia uchakavu sababu imeshatumika Kenya.OK nikilipa kodi Kenya nikinunua gari dukani naileta Tanzania TRA kuna kodi watanidai tena wakati Kenya nimelipa tayari wakati nanunua?
Mkuu usitufokee hata sisi tunalipa kodi ya Japan kwa gari zinazotoka SA na umoja wa SADC upo hata ukija na katatasi ya SARS ya SA wao hawaitambui mpaka uwe agent/dealer ndio unapewa hiyo fursa wote tunaumia kwenye huo moto..OK kodi yote ya gari umelipa Kenya kununua gari dukani kwao ambayo haijasajiriwa sasa Tanzania utatakiwa kulipa tena ?
Hayo mambo ya pamoja ya customs nk ya jumuiya ya Afrika mashariki hasa kwenye hilo la kununua gari duka la nchi ya mwenzio ambayo hayajasajiriwa yana operate vipi?
Huo umoja wa Fordha kwenye magari una maana gani?