Mimi cmjui yoyote ila chochote unachopitia andika tunaweza kukushauri kwa sababu habari zote siku hizi zipo online hauhitaji mtu kuwepo kw ground. Tunaweza kujua au kuchunguza pia tukupw ushauri fasahaHabari za wakati huu wanajukwaa?
Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki.
Kama yupo yeyote hapa,tafadhali naomba tuwasiliane kwa Direct Message (DM).
Naomba kuwakilisha.
watoto wa buku2 bhana.. Mmezaliwa mmekuta internet so mnaamini kila kitu kipo online πππhabari zote siku hizi zipo online