Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelipenda hilo shamba, very fertile! Ni mkoa gani huo mkuu? Ila huo mti Mimi siujui!Salaam Wanajukwaa hapa JF,
Tafadhali naomba kujua aina ya huu Mti, matumizi, faida na hasara zake kwa jamii.
Nimeukuta shambani.
View attachment 1259587View attachment 1259588
Nimelipenda hilo shamba, very fertile! Ni mkoa gani huo mkuu? Ila huo mti Mimi siujui!
Fanya hisani ya kuacha uendelee kuwepo... Nadhani itapendeza!Salaam Wanajukwaa hapa JF,
Tafadhali naomba kujua aina ya huu Mti, matumizi, faida na hasara zake kwa jamii.
Nimeukuta shambani.
View attachment 1259587View attachment 1259588
kabisaaa.Naona mchanganyiko wa mpapai, mnazi na mdizi..., very strange
Nitumie majani yake kwenye basi niko Dar nakupa hela nzuri tuHuo ni mnyege nyege mkuu. Unatafutwa sana na ni adimu. Faida zake ni pamoja na kuongeza nguvu za kiume.
Mko wa Ruvuma maeneo gani labd nije nkupige campnMkoa wa Ruvuma.
Nasafisha shamba kwa ajili ya kilimo, sasa najaribu kufanya mchujo na kuacha baadhi ya miti ila huo mti nimeshindwa kujua ni aina gani, faida na hasara zake.
Nimependa neno Ruvuma.Mkoa wa Ruvuma.
Nasafisha shamba kwa ajili ya kilimo, sasa najaribu kufanya mchujo na kuacha baadhi ya miti ila huo mti nimeshindwa kujua ni aina gani, faida na hasara zake.