What is my name ok?What ?
Bonge la dili huo mti, majani yake kuna namna ya kutengeneza badae unachanganya na chumvi na maji unasukutua na kutena huku ukitaja jina la mwanamke unaemtaka mara nne, hapo hata awe alikua hakutaki lazima akubali. Nakutafuta mkuu tutengeneze dawa hyo inalipa kinoma.
[emoji23]Ni muhembe pori huo usiukate ni utajiri,majani yake ukiyaweka chini ya mto ukalalia asubuhi unakuta unachokitafuta katika ndoto ya mafanikio yako.