Msaada mtoto amekunywa mafuta ya taa.

Msaada mtoto amekunywa mafuta ya taa.

LH XiV

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
346
Reaction score
352
Wasalam wana jamvi,
SERIUS PLEASE

Mtoto miaka miwili na nusu amekunywa mafuta ya taa akidhani ni maji, je nini tiba ya haraka na madhara yake.
 
Sidhani kama yana madhara huko mashuleni wanawekea kwenye vyakula vyao. Ila sasa ilibid uwe umeshafika hospitali sio JF
 
Ajanywa angekunywa wala ucngepata nguvu ya kuja uku ungekua hosp unaomba ushaur kwa docta
 
Wasalam wana jamvi,
SERIUS PLEASE

Mtoto miaka miwili na nusu amekunywa mafuta ya taa akidhani ni maji, je nini tiba ya haraka na madhara yake.
mpe mavi ayatapike
 
Mafuta ya taa ya sasa hivi ni sumu tupu yaan badala ya kumpeleka mtoto hospitali unakimbilia Jf...yaan wewe kwa jinsi ninavyopenda watoto halafu unafanya mchezo na mtoto kwenye kitu cha hatari kama hicho[emoji38][emoji38] nahisi bado ujajua uchungu wa mtoto...Mfyuuuuu
 
Wewe ni Makalio....
Mtu Ana mtoto amekunywa mafuta ya taa,anatakiwa ampeleke hospitali kama hawezi kumfanyia huduma ya kwanza kuokoa uhai wake,anapata muda saa ngapi wa kuwasha data atuulize?mimi na wewe tako ni nani?tafakari kijana sio kila mtu anampakata mama yako.
 
Mafuta ya taa ya sasa hivi ni sumu tupu yaan badala ya kumpeleka mtoto hospitali unakimbilia Jf...yaan wewe kwa jinsi ninavyopenda watoto halafu unafanya mchezo na mtoto kwenye kitu cha hatari kama hicho[emoji38][emoji38] nahisi bado ujajua uchungu wa mtoto...Mfyuuuuu
Yaaan shda skuhz watu wanataka kila ktu wakfanye kwny mitandao yakijamii. Huo mda aloandka post angeshafka hosptal.
 
Jamani hakuna mtu hajui uchungu wa mtoto. Muda ule nilikuwa kwenye gari naelekea Hospital, ashukuriwe Mungu muumba wa mbingu na ardhi mtoto kapatiwa matibabu ya haraka ikiwa ni pamoja na mapumziko ya muda mfupi kwa uangalizi zaidi.
 
NOTE. Jamani mtu anapo uliza kitu haina maana anategemea hapo Moja kwa moja. Ila kuna muda unakuwa upo out of your mind hujui nini madhara ya hicho kitu pia kwa wakati huo huna msaada hasa kwa sisi ambao wataalamu wapo mbali kidogo(hospitali)
 
Pole sana mama. Itakuwa ni kweli ulichanganyikiwa.

Siku nyingine acha mambo yako yote uwahi hospital.
 
NOTE. Jamani mtu anapo uliza kitu haina maana anategemea hapo Moja kwa moja. Ila kuna muda unakuwa upo out of your mind hujui nini madhara ya hicho kitu pia kwa wakati huo huna msaada hasa kwa sisi ambao wataalamu wapo mbali kidogo(hospitali)
Pole, kulea kuna changamoto nyingi.
Majibu ya baadhi ya members yasikukwaze, wamezoea mizaha mizaha.

Walipaswa kutoa ABC za first aid kwa "ajali" hiyo.

Mungu amponye.
 
Nakumbuka zamani watoto waliokunywa mafuta ya taa walikuwa wanapewa maziwa fresh kabisa ya kutosha na mambo yanakuwa mswano. Bahati nzuri mtoto hawezi kunywa mafuta ya taa mengi sababu by the time kaonja tu, atagundua hii sio ile tamu aliyoitegemea
 
Anagalia yanaweza kumsababishia pneumonia Kama yameingia kwenye njia ya hewa na dalili yake ya kwanza ni kukohoa, lkn kama hayajaenda huko yakiwa kwenye mfumo wa chakula kama ni mengi ataharisha, na kama ni kidogo hayana madhara sana na anaweza asihitaji dawa yoyote na hasa kama hahatishi wala hakohoi usihofu
 
Back
Top Bottom