Wasaalam ndugu zangu wa jukwaa hili
mwanangu ana miezi 9,hvi karibuni amekuwa akiharisha sana na kutapika sana,nlipompeleka hospitally alipewa dawa za kutumia lakini mpaka zimeisha hajapata nafuu...
na ikagundulika ana meno ya plastic,wakayasaga yale meno,
ushauri wenu mnaojua dawa au mliowahi kukutana na tatizo kama hli la mwanangu mnisaidie njia au dawa mlitumia
Asanteni