Msaada mtoto anakakamaa shingo

Anatimiza miaka 8 1st May. Hakika nilikuwa na wazazi na waluokuwepo you could tell ni junior sana, possible hata interns bado. Hawakutoa dawa zaidi ya massage ya shingo na kusema hawaoni tatizo. Nilishangaa.

pole sana mkuu,ndo maana hata mimi nilishtuka why Dr mkubwa aseme haoni tatizo wakati mzazi anakwambia alikuwa mzima tu, you need to find a problem. if is that the case then i understand, hata mimi nilipokuwa Muhimbili enzi hizo nilikuwa nafanya part time nikiwa bado student, ingawa ni kosa kisheria sas hatujui huyo uliyemkuta ni mwanafunzi au ni graduate ila mwajili wakendo anajua. anyway tujadili shida ya dogo
 
Infact huyo prof lazima atawarudisha regency kwa ajili ya ct scan but ni muhimu kwenda kwake kwanza then mambo mengine mazuri yatafuata ..mungu atatenda miujiza dogo atakuwa salama salmin
 
internal high fever ime~strike brain /itakuwa shingo inakakamaa then analegea na kukosa nguvu // same to my son of 2 yrs//kilichonishangaza wa kwangu alianza haka kaugonjwa baada tu ya kunywa amoxylin it may be is bad medcn for chldrs/wakwangu walimpima maleria wakakuta ana 2 wakamtundikia drip na quinine na situation were endup totaly
 
hapo kipimo cha kujua ugonjwa ni wa tiba mbadala au ni hospital ikitokea hilo degedege chukua kitunguu saum kiponde mnusishe puani ikiacha haraka hilo degedege ujue tiba mbadala likiendelea haraka hospital

Asante sana mkuu. Tangu jana saa tisa usiku hivi tatizo liliisha na kwa imani tumeamini halitatokea tena. Ila tutamfanyia ct scan just to confirm kuwa hakuna tatizo kwa brain. Kitunguu akuamka tu tutampatia tiba hiyo.
 

Mkuu umenena. Tangu jana niliachs kumpa amoxyline. Na mchana tulipima malaria lab ya jirani tukakuta mbili. Ila temeke na hindu mandal hawakuona malaria. Jana usiku saa nane kasoro nikampa arterquick ambayo ndiyo dawa yake na hadi muda ule hadi sasa shingo iko sawa. Ninamshukuru Mungu sana. Ni fundisho kuwa hizi digital za kupima malaria zina walakini. Na ilishatokea tena kutokuwa na malaria huko hmandal wakati dalili zote zilikuwepo. Lab za microscope zikaonyesha.
 

Natamani ungekuwa DSM. So far hakuna kipimo chochote weekend hii mpaka kesho. Jana microscope iluonesha ana malaria wakati digital za temeke na hindu mandal zilikuwa negative. Tulimpa first dose ya malaria usiku wa saa nane na kuanzia pale kukakamaa kukaondoka hadi muda huu. Dose ya pili ni saa nane tena usiku leo. Hivyo basi nitafuatilia ushauri wako wa vipimo ili kuona kama kunatatizo lingine. Members nisaidieni hivi vipimo vya dr alivyoshauri hapo juu nitavipata hosp gani vyote bila kupoteza wakati. Nitakupa mrejesho dr. Asante sana.
 
Infact huyo prof lazima atawarudisha regency kwa ajili ya ct scan but ni muhimu kwenda kwake kwanza then mambo mengine mazuri yatafuata ..mungu atatenda miujiza dogo atakuwa salama salmin

Amen amen. Hali imetengamaa tangu jana tulupomwanzishia dose ya malaria. Ila vipimo vya ct scan na vingine nitafanya kesho just kuhakikisha hakuna tatizo.
 

well kama bs ilionyesha kuna malaria na baada ya kutumia dawa za malaria hali hiyo imekwisha basi hadi sasa tubaki kuwa ile ilikuwa degedege kama nilivyosema. Nitoe ushauri tu kwa madaktari kuwa Bs ni gold standard in diagnosis of malaria, hizi MRDT siyo sensitive kama ilivyo Bs. Lakini still fanya vipimo zaidi kujua kama kunashida nyingine. pole sana najua umepata distress sana kwa hili lakini ndo mapito hayo huna budi kupambana nayo
 
ku
Kweli maana hvyo vipimo ni hela kubwa na sina hakika jama insurance ya NHIF ya green ina cover. Hapo ndiyo shida yangu kuu.
mkuu nikutoe wasiwasi kuwa hivyo vipimo ni vya kawaida sana hata NHIF inacover, huku kweyu EEG hatuna ila najua pale muhimbili hawafanyi kwa bei kubwa ila shida ni namna ya kuvipata vipimo ndo shida nchi yetu hii urasimu mwingi sana.vipimo ambavyo NHIF watataka ruhusa yao ni CT scan, MRI labda na renal dialysis other wise vingine vinafanyika tu bila hata matatizo
 

Dr. Nishukuru mno kwa cobcern yako. Hakika mtoto yuko fit jioni hii amekula na kunywa. Ila mwili umechoka sana maana alikuwa anapambana na ile hali mno. Nimemaliza kumfanyia massage na pia machungwa juice fresh, lucozade na ribena. Nitafuatilia vipimo vingine kadri nitakavyojaliwa maana vyote ni hela kubwa. Je kuna ambacho ni kikubwa kitatupa majibu yote au hata kama ni kidogo but preliminary tukipata normal basi tunajua na vingine itakuwa normal? But all in all nitajitahidi nivifanye.
 
.ood 5x6f4ycx xx yx xx x7rftz 98x66f 8x6rxy7 x 8y.yrix7 xxux63xc8z xyu6 8 64ff 6.ffp
X xx60c.8.ucn7yx y9 xyx6fdy x6 7xxy xcyx 48uz6xt@ fx7xyxb
 

Poa na kwa card ya green najua mizengwe wanapunguza kidogo. Hata wakikataa mitakikamua tu. Uhai wa mtoto ni bora. Tangu jana mina hakika kilo tano na zaidi zimenitoka. Tangu kuzi sijala na jana sijafunga jicho. Leo kutwa barabarani kwa watumishi wa Mungu baada ya kuona leo vipimo havitakuwepo. My son has great faith.
 
.ood 5x6f4ycx xx yx xx x7rftz 98x66f 8x6rxy7 x 8y.yrix7 xxux63xc8z xyu6 8 64ff 6.ffp
X xx60c.8.ucn7yx y9 xyx6fdy x6 7xxy xcyx 48uz6xt@ fx7xyxb

Asante kwa mchango wako. Siku Mungu atakujalia mtoto utaikimbuka siku ya leo na maandishi haya. Ubarikiwe
 
Kweli maana hvyo vipimo ni hela kubwa na sina hakika jama insurance ya NHIF ya green ina cover. Hapo ndiyo shida yangu kuu.

NHIF ya kawaida tu ambazo wengi tunazo inacover,lakini ct scan baada ya kuandikiwa ns Dr unatakiwa uende makao makuu ya NHIF ili wakupe kibali cha kufanya hivyo vipimo.Hosp nzuri ambayo utasaidiwa haraka nadhani TMJ .Cha msingi asubuh wahi makao makuu ya NHIF wakupe go a head letter ya vipimo
 

Asante sana mkuu. Head office iko wapi dsm. Niliala flat ndiyo nimeamka nane hii kumpa dogo dawa.
 
but for now anywe maji mengi sana na jaribu kumpima malaria kila baada ya siku 7 mfululizo // chest pain yoyote aitaje haraka na dalili zozote za tonsils na lyphs zinapoonekana zizibitiwe ni "generetor kubwa la internal high fever"mkuu nilikaa mno na dk bingwa wa watoto akanipa hizi dondoo!
 
Ponda Kitunguu Saumu kisha mpake mwenye tatizo hilo na uichome na mfukizie moshi umpate japo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…