Msaada: Mtoto anakohoa sana!

Msaada: Mtoto anakohoa sana!

Joined
Sep 22, 2014
Posts
75
Reaction score
19
Husika na somo hapo juu!

Mwanangu, 2yrs, aakohoa sana, na hasa nyakati za usiku mkubwa, mara nyingi kuanzia saa 8 hadi kunakucha. Tumeenda Hosp, vipimo vya damu na mkojo majibu ni safi! Tumempa dawa ya Minyoo - VUMTREX SYRUP na anaimaliza leo, lakini hakuna dalili ya kifua kupona!
Hatua nyingine, tumeacha kumpa juice za dukani

Ahsanteni sana.
 
KoomSon Inawezekana ikawa ni allergic reaction, chunguza anapolala hakuna vumbi, harufu za perfume, mapazia na net ziwe safi na hakikisha pana hewa ya kutosha,
 
Last edited by a moderator:
Pia angalia asijekua na "KIMEO"
Akiwa na hiyo kitu atatumia pipa la dawa bila kupona.
 
Weka mbali na feni huyo dogo pia weka mbali na joto. Sasa sijui utafanyaje maana hayo mawili yote ni chanzo cha kukohoa.lkn ndio changamoto ya malezi hiyo. Pole sana
 
Unaweza Kuta Ni Allerwy Ya Mashuka Au Blanketi Au Vitu Anavyotumia Usiku. Maza Alikuwa Na Hiyo Shida Nikamwambia Abadilishe Blanketi Mambo Yakawa Safi.
 
Epusha pia kumpa vitu vya baridi kama maji, juice toka kwenye fridge na ice cream.
 
Feni hio mwenetu au mnaacha kumfunika usiku mkihofia joto. Nina tatizo kama hili nauguza binti yangu wa umri kama huo huo
 
Back
Top Bottom