Husika na somo hapo juu!
Mwanangu, 2yrs, aakohoa sana, na hasa nyakati za usiku mkubwa, mara nyingi kuanzia saa 8 hadi kunakucha. Tumeenda Hosp, vipimo vya damu na mkojo majibu ni safi! Tumempa dawa ya Minyoo - VUMTREX SYRUP na anaimaliza leo, lakini hakuna dalili ya kifua kupona!
Hatua nyingine, tumeacha kumpa juice za dukani
Ahsanteni sana.