Msaada; mtoto haachi kunyonya kidole

Msaada; mtoto haachi kunyonya kidole

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wadau nina mtoto anamiaka 6 sasa lakini kila mbinu ninayotumia kumfanya aache kunyonya kidole inafeli
Nimejaribu kumpaka vitu vichungu kama pilipil nk
Nimejaribu kumfunga bandeji anaito

Alitoka jino la mbele na sasa naona kama linaanza kuota kwa juu ya fizi badala ya mahali pake
Plesa msaada wenu wadau
cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom