washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 723
Wadau naomba msaada wa nini cha kufanya, mtoto wa miaka miwili ameifuma dawa ya Amoxicilin inapokaa akainywa yote chupa nzima.Ilikuwa ni dozi aliyoandikiwa hospitali na tulianza jana kumpa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.