Msaada: Mtoto kuchelewa sana kuongea

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
Heshima zenu wakuu

Nina jamaa yangu siyo member wa JF anahiyo shida,
mtoto wake alianzaga kuongea alivofikisha mwaka na nusu then akaugua kifua akaacha kabisa kuongea,
Mpaka sasa anamiaka mitatu anaongea neno mojamoja sana, anauwezo wa kuiga maneno watu wakiongea lakini kuyarudia mwenyewe hayarudii kwa hiyo hawez ongea mpka sasa.
Alishakwenda hospitali kadhaa wakamwambia mtoto hana shida ila amechelewa tu kuongea ataongea bila shida

Jamaa yangu anawasiwasi sana, kama kuna ushauri wowote mwaweza kumpatia tutashukuru
 
Motor neurons ambazo ziko associated na speech ziko kwenye cerebrum, muone paediatric neurologist anaweza kutambua tatizo liko wapi.
 
Kama hospitali "kadhaa" wamesema hana shida basi tumuachie Mungu.
 
Motor neurons ambazo ziko associated na speech ziko kwenye cerebrum, muone paediatric neurologist anaweza kutambua tatizo liko wapi.
Ushauri hospitali yenye neurologist wa kuaminika?
 
Duh! Ndo hakuna ushauri wa kitaalam kabisa, hata pa kuanzia kusolve hiyo issue pakijulikana itasaidia
Help tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…