mamso Senior Member Joined Feb 9, 2017 Posts 174 Reaction score 195 Feb 9, 2018 #1 Habarini wana Jamii Naswali je ni kawaida kwa mtoto baada ya operation amekaa wiki 2 alikuwa hakoromi ila wiki ya 3 ameanza kukoroma naombeni mawazo yenu.
Habarini wana Jamii Naswali je ni kawaida kwa mtoto baada ya operation amekaa wiki 2 alikuwa hakoromi ila wiki ya 3 ameanza kukoroma naombeni mawazo yenu.
cherie neisha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,873 Reaction score 20,705 Feb 9, 2018 #2 Mkuu nyama za pua tafsiri yake ni nasal polyps na sio sinus. Nyama za pua ndio zinaota kwenye sinus. Hayo tu.Waliobobea watakupa ushauri.
Mkuu nyama za pua tafsiri yake ni nasal polyps na sio sinus. Nyama za pua ndio zinaota kwenye sinus. Hayo tu.Waliobobea watakupa ushauri.